Majibu ya maswali ya kawaida kuhusu Biashara Rahisi.
Ndiyo. Biashara Rahisi ni mfumo wa online ili taarifa za duka zibaki sawa kwenye simu, tablet na kompyuta zilizoidhinishwa.
Vifaa vyovyote unavyohitaji. Data inashirikiwa papo hapo kati ya owner na wafanyakazi wote unaowaongeza, kwenye simu, tablet, au kompyuta.
Ndiyo. Kila akaunti ya mfanyakazi ina ruhusa zake - wewe ndiye unayeamua sehemu gani za app anazoweza kuzifikia, mfano kufanya mauzo au kuona ripoti.
Data yako inahifadhiwa kwa usalama na inahifadhi nakala (backup) kiotomatiki. Ni watu unaowaongeza wewe mwenyewe tu kwenye duka lako wanaoweza kuifikia.
Kuanza ni bure. Fungua duka lako na ujaribu vipengele vya msingi kabla ya kuamua mpango wa malipo.
Maduka, maduka ya dawa, na watoa huduma wa ukubwa wowote - kuanzia duka moja dogo hadi biashara yenye matawi na wafanyakazi kadhaa.